NJAMA AAHIDI KUIBADILISHA KOROGWE.
Автор: NCHI YETU TV
Загружено: 2025-08-27
Просмотров: 221
Mgombea ubunge kupitia chama Cha mapinduzi(CCM) ndugu Charles Mhando Njama amesema endapo atapatiwa ridhaa ya kuwa mbunge wa jimbo la Korogwe mjini kwa kipindi Cha Miaka mitano ijayo ataibadili Korogwe kwa kuleta maendeleo ndani ya jimbo Hilo.
CPA Njama amesema hayo 26,08,2025, katika ofisi z chama Cha mapinduzi zilizopo wilyani Korogwe baada ya kumalizika kwa zoezi la uchukuaji fomu ya kugombea ubunge Kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi jimbo la Korogwe mjini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: