Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Ziara ya Uongozi wa ZPC katika Mradi wa CBM Bandari ya Mangapwani

Автор: Shirika la Bandari Zanzibar

Загружено: 2025-08-27

Просмотров: 1988

Описание:

Ziara ya Uongozi wa ZPC katika Mradi wa CBM Bandari ya Mangapwani

Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) umefanya ziara ya ukaguzi katika Mradi wa Conventional Buoy Mooring (CBM) wa upakiaji na ushushaji wa mafuta na gesi unaoendelea katika Bandari ya Mangapwani.

Katika ziara hiyo, wamekagua na kushuhudia hatua za maandalizi ya ufungaji wa vifaa muhimu vikiwemo:

Maboya (Buoys) 6, kila moja yakiwa na uwezo wa kuhimili uzito wa zaidi ya tani 150.

Sinkers zenye uzito wa zaidi ya tani 5 kila moja kwa ajili ya kuimarisha uthabiti wa maboya hayo.

Mfumo wa kisasa wa Coriolis Flow Meter kwa ajili ya kufuatilia mtiririko na kupima kiwango cha mafuta ya yatakayopitishwa.

Mfumo wa Scudder System, unaohusiana na usalama na uthabiti wa meli wakati wa upakiaji na ushushaji.

Jengo la Ofisi za Wadau wa Sekta ya Mafuta, litakalotumika kama kituo cha uratibu wa shughuli zote za mradi.

Mradi huu wa kimkakati unatarajiwa kuongeza ufanisi na usalama wa miamala ya mafuta Zanzibar, sambamba na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia sekta ya bandari na nishati.

Ziara ya Uongozi wa ZPC katika Mradi wa CBM Bandari ya Mangapwani

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

HOJA MEZANI | Ujenzi wa bandari Zanzibar utakavyoleta mapinduzi ya ajira kwa wazawa

HOJA MEZANI | Ujenzi wa bandari Zanzibar utakavyoleta mapinduzi ya ajira kwa wazawa

UFAHAMU MRADI WA BANDARI YA MPIGA DURI

UFAHAMU MRADI WA BANDARI YA MPIGA DURI

Mradi wa Ujenzi wa Stendi ya Kisasa Tabora Waendelea kwa Kasi

Mradi wa Ujenzi wa Stendi ya Kisasa Tabora Waendelea kwa Kasi

Занзибар изнутри: скрытая жемчужина Восточной Африки 🇹🇿

Занзибар изнутри: скрытая жемчужина Восточной Африки 🇹🇿

ZIARA YA UKAGUZI MIRADI YA KIMKAKATI KISIWANI PEMBA

ZIARA YA UKAGUZI MIRADI YA KIMKAKATI KISIWANI PEMBA

 ZPC imefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Makontena ya Mangapwani.

ZPC imefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Makontena ya Mangapwani.

😳СКАБЕЕВА устроила бунт, В ПРЯМОМ ЭФИРЕ ШОК! Гость орёт о КОНЦЕ

😳СКАБЕЕВА устроила бунт, В ПРЯМОМ ЭФИРЕ ШОК! Гость орёт о КОНЦЕ "СВО". Реакция на ПЕРЕГОВОРЫ порвала

Путина предал союзник / Жёсткий ответ Москве

Путина предал союзник / Жёсткий ответ Москве

ZPC kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya bandari wamefanya ziara  ya miradi ya  ZPC.

ZPC kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya bandari wamefanya ziara ya miradi ya ZPC.

Deep House Mix 2024 | Deep House, Vocal House, Nu Disco, Chillout Mix by Diamond #3

Deep House Mix 2024 | Deep House, Vocal House, Nu Disco, Chillout Mix by Diamond #3

BANDARI YA MPIGA DURI

BANDARI YA MPIGA DURI

UJENZI BANDARI YA MANGAPWANI UNGUJA

UJENZI BANDARI YA MANGAPWANI UNGUJA

#DKT MWINYI AJENGA DARAJA LA KILOMITA 2 KISIWA CHA UZI

#DKT MWINYI AJENGA DARAJA LA KILOMITA 2 KISIWA CHA UZI

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

Echoes of Africa 🌍 | Zulu Voices for Deep Calm & Serenity

Echoes of Africa 🌍 | Zulu Voices for Deep Calm & Serenity

UKAGUZI WA ENEO LA UJENZI WA BANDARI YA MPIGA DURI/MARHUBI

UKAGUZI WA ENEO LA UJENZI WA BANDARI YA MPIGA DURI/MARHUBI

Ziara ya Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari katika eneo la Bandari jumuishi Mangapwani.

Ziara ya Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari katika eneo la Bandari jumuishi Mangapwani.

Hivi Ndivyo Itakavyokuwa Bandari Mpya ya Mangapwani Zanzibar.

Hivi Ndivyo Itakavyokuwa Bandari Mpya ya Mangapwani Zanzibar.

😮БЕРЕЗОВЕЦ: Срочная ВСТРЕЧА Путина! Публично УМОЛЯЕТ Индию О ПОМОЩИ. Гляньте, ЧТО ВЫДАЛ

😮БЕРЕЗОВЕЦ: Срочная ВСТРЕЧА Путина! Публично УМОЛЯЕТ Индию О ПОМОЩИ. Гляньте, ЧТО ВЫДАЛ

#ZANZIBAR KUWA NCHI YA KWANZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

#ZANZIBAR KUWA NCHI YA KWANZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]