Vijana eneo la Wamba, Samburu walalamikia ukosefu wa ajira
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-11-09
Просмотров: 1876
Vijana katika eneo la Wamba Samburu Mashariki wamelalamikia ukosefu wa ajira, hali ambayo imelaumiwa kwa ongezeko la utumizi wa dawa za kulevya. Haya yanajiri huku takwimu zikiashiria kuwa zaidi ya asilimia thelathini ya vijana wanakumbwa na ukosefu wa ajira nchini
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: