Elizabeth S.Mshokela--USO WAKO (Official Video 4k)
Автор: ELIZABETH S. MSHOKELA
Загружено: 2025-09-02
Просмотров: 10875
Mpendwa wangu katika Kristo karibu Ubarikiwe na wimbo wangu huu uitwao USO WAKO Nyimbo ambayo ndani yake inazidi kuomba uwepo wa kutembea na Uso wa Bwana uzidi kutembea nasi ,haijalishi ni katika mazingira gani tunayo yapitia Lakini pia nyimbo hii imebeba Album ya Nyimbo Sita ambazo unaweza kuendelea kuzifatlia kama
1.Pokea
2.Uso wako
3.Amefanya
4.Yamekuwa Mapya
5.Sipati Shida
6.Umenitendea
Zote hizi ili kuzipata unaweza kuandika Jina:ELIZABETH S.MSHOKELA
Youtube,Facebook ,Inst -Nk
Contact:0784-468-612
Email:mshokelaelizabeth@gmail.com
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: