CHEKECHE | Mgogoro wa Sudan na ushindi wa jeshi la serikali kwenye maeneo muhimu
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-03-29
Просмотров: 3267
Katika juma la kwanza la mwezi Machi tuliangazia mzozo wa Sudan na kuhitimisha mjadala kwa hoja kwamba nchi hiyo ina nafasi ya kuamua itumike njia ipi kati ya nguvu ya kijeshi na diplomasia ili kuirejesha nchi kwenye amani.
Tunapozungumza hivi sasa ni nguvu ya kijeshi inayozungumzwa baada ya Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na kambi yake kurejea katika mji mkuu wa Khartoum ikiwa imepita miaka miwili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Nini kinafuata Sudan baada ya jeshi kurejea Khartoum? Karibu katika #Chekeche
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: