RC TABORA PAUL CHACHA AFICHUA UKWELI, MWANAMKE ALIYEDAIWA KUTEKWA 2025 ABAINIKA HAKUTEKWA
Автор: Mazingira Fm
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 140
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameeleza tukio la mwaka 2025 kuhusu mwanamke aliyedaiwa kutekwa, ambapo baada ya uchunguzi wa kina ilibainika kuwa madai hayo hayakuwa ya kweli.
RC Chacha amesema vyombo vya ulinzi na usalama vilichukua hatua za haraka kufuatilia taarifa hizo, na hatimaye kubaini mahali alikokuwa mwanamke huyo baada ya siku kadhaa za msako.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: