Kijana wa kitanzania abuni gari
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-08-06
Просмотров: 14177
Maonesho ya Nanenane kwa mwaka 2019 yatakuwa yameandika historia ndani ya kipindi kifupi baada ya kijana wa Kitanzania kuja na ubunifu wa gari.
Shauku ya kumiliki gari ndiyo iliyopelekea kijana huyo kubuni kifaa hicho cha usafiri.
Rehema Evans anakuja na taarifa kamili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: