Mahojiano na Ahmed Ally akizungumzia mipango ya Simba kuzisaka alama tisa za Ligi ya Mabingwa Afrika
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 18102
KUTOKA TUNISIA: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amezngunzia mipango ya klabu hiyo ya kuvuna alama 9, katika michezo mitatu iliyosalia.
Kuhusu viwango vya wachezaji waliosajiliwa, amesema anaimani watakuwa na mchango katika kuyafikia malengo ya Simba SC.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: