USAFI WA MAZINGIRA NA AFYA KATIKA JAMII ZETU
Автор: Tanganyika Christian Refugee Service
Загружено: 2025-01-28
Просмотров: 65
TCRS ikishirikiana na Wizara ya Afya, FELM, Wizara ya Mambo ya Nje ya Finland (Ministry for Foreign Affairs of Finland) inaendelea kutoa elimu ya usafi wa mazingira katika wilaya za Kishapu, Kilwa na Morogoro vijijini.
"Mtu ni Afya na sote tushirikiane kutokomeza magonjwa ya mlipuko yatokanayo na uchafu wa mazingira"
Endelea kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
Instagram : https://www.instagram.com/tanganyikachrist...
Twitter (X) : https://x.com/tcrs60?s=21
LinkedIn : https://www.linkedin.com/company/tanganyik...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: