Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIELEZEA ALIVYOKAA KARANTINI BAADA YA KUTOKA NCHINI CUBA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2020-04-03

Просмотров: 3153

Описание:

[14:01, 4/3/2020] +255 774 848 800: Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wananchi kuzingatia kwamba Karantini wanaowekewa Watu walioingia Nchini kutoka Nje ya Nchi sio adhabu bali ni utaratibu unaozingatia Muongozo wa Wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Mafua na Homa Kali ya Mapafu.

Balozi Seif Ali Iddi ametoa tahadhari hiyo huko Nyumbani Kwake Mtaa wa Kama Kaskazini Kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akitoa Taarifa kwa Umma baada ya kumaliza muda wake wa wa mapumziko ya Siku 14 zinazomuwajibika Kila Msafiri aliyeingia Nchini kutoka nje ya Nchi kwa mujibu wa Wataalamu.

Hata hivyo Balozi Sif alisema kwa mujibu wa Wataalamu wa Sekta ya Afya walimshauri aendelee kuongeza Siku Saba Zaidi ili kumaliza vyema Karantini hiyo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliwapongeza Mawaziri wa Afya wa Serikali ya Muungano waTanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa jitihada wanazoendelea kuzichukuwa katika kuipatia Jamii Taarifa sahihi juu ya muenendo mzima wa Virusi vya Corona.

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIELEZEA ALIVYOKAA KARANTINI BAADA YA KUTOKA NCHINI CUBA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

#ODC NA MADAKTARI BINGWA WA MENO ZANZIBAR

#ODC NA MADAKTARI BINGWA WA MENO ZANZIBAR

⚡ПАРУ ЧАСОВ НАЗАД! Путин СДЕЛАЛ ВАЖНЫЙ АНОНС на 2026 по

⚡ПАРУ ЧАСОВ НАЗАД! Путин СДЕЛАЛ ВАЖНЫЙ АНОНС на 2026 по "СВО"! Москва ГОТОВИТ ОБЪЯВИТЬ ПОБЕДУ

"UONGOZI SI KUTAFUTA UTAJIRI, NI KUTUMIKIA WANANCHI" - BALOZI SEIF ALI IDDI

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU Mhe OTHMAN MASOUD OTHMAN MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR.

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU Mhe OTHMAN MASOUD OTHMAN MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR.

HUYU NDIE MEYA MPYA WA JIJI LA ZANZIBAR

HUYU NDIE MEYA MPYA WA JIJI LA ZANZIBAR

Orędzie noworoczne Prezydenta RP

Orędzie noworoczne Prezydenta RP

ZAECA yawaburuta mahakamani wahasibu, maafisa manunuzi na maafisa wa makampuni kwa wizi wa mabilioni

ZAECA yawaburuta mahakamani wahasibu, maafisa manunuzi na maafisa wa makampuni kwa wizi wa mabilioni

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Makamu wa 2 wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi amewataka wafanyabiashara wa Urusi kuwekeza nchini.

Makamu wa 2 wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi amewataka wafanyabiashara wa Urusi kuwekeza nchini.

Makamu wa Kwanza, autaka uongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kutatua mgogoro wa ardhi Nungwi

Makamu wa Kwanza, autaka uongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kutatua mgogoro wa ardhi Nungwi

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

SHUHUDIA ALICHOKIFANYA MAKAMO WA PILIWA RAIS KIJIJINI KWAO

SHUHUDIA ALICHOKIFANYA MAKAMO WA PILIWA RAIS KIJIJINI KWAO

OMO AFANYA ZIARA MAJUMBANI KUWAFARIJI WASIOJIWEZA MKOA WA KUSINI UNGUJA

OMO AFANYA ZIARA MAJUMBANI KUWAFARIJI WASIOJIWEZA MKOA WA KUSINI UNGUJA

Ziara ya Othman Masoud Unguja yakamilika, haya ndo madhumuni yake

Ziara ya Othman Masoud Unguja yakamilika, haya ndo madhumuni yake

IKULU: RAIS MWINYI APIGA SIMU MTAANI, KUSIKILIZA KERO, ATOA MAAGIZO, KUTEKELEZWA MARA MOJA..

IKULU: RAIS MWINYI APIGA SIMU MTAANI, KUSIKILIZA KERO, ATOA MAAGIZO, KUTEKELEZWA MARA MOJA..

GWAJIMA AFICHUA SIRI HII USIYOIJUA ''WALINITUMIA MESEJI USIENDE'' ATUMA UJUMBE MZITO

GWAJIMA AFICHUA SIRI HII USIYOIJUA ''WALINITUMIA MESEJI USIENDE'' ATUMA UJUMBE MZITO

Watu 20 Wakamatwa Kwa Biashara Ya Ukahaba Zanzibar

Watu 20 Wakamatwa Kwa Biashara Ya Ukahaba Zanzibar

ENEO LA BANDARI MPYA YA MPIGADURI RAIS DK.SHEIN AMEFANYA ZIARA HAPO

ENEO LA BANDARI MPYA YA MPIGADURI RAIS DK.SHEIN AMEFANYA ZIARA HAPO

Prezydent Nawrocki: wybierając mnie, Polacy wyraźnie pokazali, że nie podoba im się ten rząd!

Prezydent Nawrocki: wybierając mnie, Polacy wyraźnie pokazali, że nie podoba im się ten rząd!

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]