Wajumbe wa Bodi kwa upande wa Mwekezaji
Автор: Mohammed Dewji
Загружено: 2024-07-07
Просмотров: 663
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mamlaka niliyopewa kulingana na Mkataba wa Makubaliano na Simba Sports Club Limited (Memorandum of Association) na Kanuni za Makubaliano (Articles of Association), ibara ya 40; ningependa kuwatambulisha wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi kwa upande wa Mwekezaji. #SimbaNguvuMoja🦁
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: