KTN yafichua jinsi JKIA ilivyogeuzwa njia dhaifu ya usafirishaji dawa za kulevya
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2025-10-03
Просмотров: 1443597
Lango kuu lenye shughuli nyingi zaidi Afrika Mashariki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, upo katikati ya kashfa ya kimataifa ya dawa za kulevya. Kitengo cha uchunguzi cha KTN kimekusanya ushahidi unaoonyesha jinsi mojawapo ya viwanja vya ndege vyenye shughuli nyingi zaidi barani Afrika kimegeuka kuwa njia dhaifu ya usafirishaji wa mihadarati ya kimataifa. Raia mmoja wa Uingereza aliyekamatwa akiwa na dawa za kulevya za daraja la A na B, ikiwemo kokeini yenye thamani ya mamilioni ya shilingi, alifanikiwa kupita moja kwa moja kwenye ukaguzi ambao unadaiwa kuwa wa kiwango cha juu katika JKIA, akisaidiwa na maafisa wa usalama na wa uwanja wa ndege waliomhakikishia apande ndege kuelekea London bila tatizo. Lakini katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow, safari yake iliishia kwa pingu mikononi baada ya Kikosi Maalum cha Uhalifu cha Polisi wa Jiji la London kumkamata. Mwanahabari mpekuzi Francis Ontomwa na taarifa kamili.
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
/ ktnnewskenya
Follow us on Twitter: / ktnnewske
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: