Stara Thomas: 'Rushwa ya ngono ipo kwenye muziki'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-11-21
Просмотров: 1745
Katika Nyota wa Afrika Mashariki wiki hii tunamuangazia Mwanamuziki wa siku nyingi na nyota wa muziki wa zuku nchini Tanzania @stara_thomas ambaye anazungumzia harakati za muziki, maisha yake pamoja na kwanini alikuwa kimya kwa muda mrefu.
-
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda @ctherineangelus amezungumza naye na kuandaa taarifa hii
#bbcswahili #tanzania #sanaa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: