UFUGAJI SAMAKI KWENYE VIZIMBA ULIVYOMPA MAISHA MSOMI ALIYESOTA
Автор: Kiboko TV
Загружено: 2025-08-02
Просмотров: 912
UFUGAJI SAMAKI KWENYE VIZIMBA ULIVYOMPA MAISHA MSOMI ALIYESOTA
Mhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu na sanaa Pius Makindi mkazi wa Jijini Mwanza, licha ya kuwa msomi ambaye alitegemea kupata kazi serikalini, hakuamini kilichomtokea baada ya kusota kwa miaka sita akitafuta kazi na kisha kufanikiwa kuwa 'tajiri'.
Utajiri wa Makindi ulianzaje, Fuatilia KIBOKO TV na Subscribe ili upate habari kamili baada ya kuwezeshwa na benki ya TADB
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: