Uhasama kati ya Rwanda na Burundi wachukua sura mpya | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-03-26
Просмотров: 9679
Kauli ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kuwa anao ushahidi kwamba Rwanda inataka kuivamia Burundi kwa kutumia waasi wa Red Tabara kutokea upande wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imezusha hali ya mvutano na wasiwasi kati ya nchi hizo mbili. Mchambuzi wa masuala ya Maziwa Makuu Mali Ali anahojiwa na Amina Abubakar kutoa tathmini zaidi.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #HabariZaUlimwenguPodcast #dwkiswahilipodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: