Sakata la uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) limekaa hivi
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-11-09
Просмотров: 1712
Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi itakabidhi Rasmi Kiwanja cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kwa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) baada ya mkataba wa kupangisha uwanja huo kwa KADCO kumalizika leo.
Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma leo Jumatano, Novemba 9,2023 Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa wakati akitoa taarifa kwa Bunge.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: