ISHARA 4 ZINAZOONYESHA KUWA UNA UPOLE ULIOPITILIZA NA NINI UFANYE
Автор: Madini Point
Загружено: 2022-04-25
Просмотров: 2330
Kuwa mpole, mkarimu, mtaratibu na mwenye huruma ni jambo zuri lakini ikipitiliza sana inakuwa siyo nzuri. Yawezekana pia unayo hiyo tabia ila haujijui. Hapa nimekuja na ishara 4 zitakazoweza kukuonyesha kama una hiyo tabia na nini ufanye ili usiwe mpole kupitiliza
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: