BARRETT MAPUNDA: KUTOKA USWAHILINI MPAKA UTUMISHI | YOHANA JR_THE LIFE WE HAVE
Автор: THE LIFE WE HAVE PODCAST.
Загружено: 2024-05-26
Просмотров: 936
On The Life We Have.
Katika Episode ya Tatu tunakutana na Barrett Mapunda mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za injili aliyekulia katika maisha ya uswahilini na kuweza kustahimili malezi na mafunzo bora kutoka katika familia yao mpaka kufikia utumishi.
Fahamu kuhusu JUST FOR ME Foundation na mambo mengi usiyoyajua kuhusu Barrett Mapunda kuanzia ukuaji wake changamoto na mafanikio katika utumishi mpaka sasa.
Video credit: BROARD STUDIOZ (Patrick Barongo +255 789 394 273)
Audio & Sound credit: Betese Pro (JCB Studioz)
Graphics & Digital Branding: BLESSED CREATIVEZ (Mbarikiwa Mtwa +255 629 509 773)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: