ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA, ATISHIA MBELE YA HAKIMU "NITAFANYA KITU MBAYA"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2019-08-13
Просмотров: 383752
Mfanyabiashara Hamis Said (38), anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya mkewe Naomi Marijani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa atawafanyia kitu mbaya waandishi wa habari ambapo mahakama haitakitarajia.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: