MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA MAJANI YA MPERA KWA KUKU | Tiba Asili
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-11-11
Просмотров: 8476
Leo tunazungumzia tiba rahisi, ya asili na ambayo imeokoa makundi mengi ya kuku – MAJANI YA MPERA.
Je, unajua majani haya yana uwezo wa kutibu miharo, madoadoa kwenye kinyesi, bakteria tumboni, fangasi, na kuharisha kusikokoma?
Tazama video hii ujifunze:
✅ Magonjwa yanayotibika kwa majani ya mpera
✅ Jinsi ya kuyaandaa bila makosa
✅ Kiasi cha kunywesha vifaranga na kuku wakubwa
✅ Siri ya kuongeza kinga ya mwili kwa kutumia dawa hii rahisi
Hii ni tiba salama, inapatikana kila eneo, na inatoa matokeo haraka ukiitumia kwa usahihi.
Kama unafuga kuku – lazima ujue hii!
📌 Jinsi ya Kujiunga na Grupu la KingoFarm Ukitaka kujiunga na grupu la wafugaji, lipia Tsh 8,000 (miezi 2) kisha nitumie ujumbe wa WhatsApp.
✅ WhatsApp: 0712 188 239
📌 Unahitaji vitabu au eBook za Tiba Asili kwa kuku?
• Bei: Tsh 10,000 tu
• Unatumiwa kwenye simu yako mara moja
WhatsApp: 0712 188 239
📌 Usisahau ku-SUBSCRIBE, LIKE na kushare kwa wafugaji wenzako.
📌 Andika “NIPO” kwenye comments kama unapenda tuendelee na Tiba za Asili kwa kuku.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: