JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL YA YOUTUBE KWENYE SIMU YAKO NA KULIPWA
Автор: keki plus
Загружено: 2021-02-24
Просмотров: 97906
leo tunajifunza jinsi ya kufungua channel ya youtube kwenye simu yako na kulipwa.
Ni rahisi kama hovyo,fuatilia video mwanzo mpaka mwisho pia pitia machapisho na video za watu wengine ili uendelee kujifunza.
youtube ni fursa kubwa sana unatakiwa kuijua kiundani ili ielewe sheria zote kabla hujaanza na ukitia bidii utafanikiwa.. InshaAllah
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: