Mogadishu yaandaa uchaguzi wa kihistoria wa manispaa
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 345
Somalia imepiga hatua muhimu ya kidemokrasia baada ya jiji la Mogadishu kuandaa uchaguzi wa manispaa, uliotajwa kuwa hatua kubwa kuelekea utawala wa kidemokrasia na uwajibikaji. Rais Hassan Sheikh Mohamud aliwahimiza wakazi kushiriki kwenye uchaguzi huo kwa amani. Uchaguzi huo ni wa kwanza kufanyika tangu uchaguzi wa moja kwa moja wa mwaka 1969, miezi michache kabla ya jenerali wa jeshi Mohamed Siyad Barre kuchukua madaraka kupitia mapinduzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: