Muumini kushikiliwa kwa kuishi na Maiti -Iringa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-12-04
Просмотров: 485
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia kwa uchunguzi zaidi muumini wa kanisa la Elihuruma, Agnes Mwakijale wa Kitongoji cha Isakalilo C kwa tuhuma za kuishi na maiti ya aliyekuwa mchungaji wake tangu Oktoba mwaka huu.
Mwakijale alikamatwa jana Disemba 3, 2024 akidai kuwa mchungaji huyo angeamka na kuendelea na kazi ya utumishi.
#AzamTVUpdates
Mhariri|@moseskwindi, Warda John
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: