TANESCO YAMNASA MTEJA ANAYETUMIA UMEME BILA KULIPIA - MFANYAKAZI ATIWA MBARONI - BOSI ATOWEKA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-08-28
Просмотров: 638
TANESCO YAMNASA MTEJA ANAYETUMIA UMEME BILA KULIPIA - MFANYAKAZI ATIWA MBARONI - BOSI ATOWEKA...
Serikali kupitia shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesisitiza kuendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika wamejiunganishia na kutumia umeme bila kulipia huku wakiendelea kupeleka hasara kwa shirika na taifa.
Hayo yamebainishwa na Francis Mvukie ambaye ni meneja wa TANESCO wilaya ya Wanging'ombe pamoja na Endru Soko Afisa Usalama wa Shirika hilo mkoa wa Njombe wakati wa zoezi maalum la ukaguzi wa miundombinu uliokuwa ukifanyika Igwachanya wilayani Wanging'ombe.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: