Singida Black Stars 1-0 Azam FC | Highlights | NBC PL 06/04/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-04-06
Просмотров: 97062
Super Sub, Elvis Rupia amefunga goli pekee na la ushindi wa bao 1-0 kwa Singida Black Stars dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Uwanja wa Liti, Singida.
Goli kwa Azam FC ni Zuberi Foba ambaye hata hivyo kabla ya goli hili la dakika ya 75, alikuwa amefanya saves kadhaa na kuzuia hatari nyingi za Singida Black Stars....
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: