Wema Amfanya Kitu Mbaya Mama Kanumba!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-03-09
Просмотров: 135447
Wema Amfanya Kitu Mbaya Mama Kanumba
DAR ES SALAAM: Hii siyo Sawa! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo wa sinema za kibongo, Wema Sepetu, hivi karibuni kudaiwa kumfanyia kitu mbaya mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa kwa kumuita nyumbani kwake Salasala na kumchomesha Mahindi Getini.
Gazeti la Ijumaa lilizungumza na mmoja wa majirani wa Wema walioshuhudia tukio hilo ambao walimuonea huruma mama Kanumba kwani mbali ya kuwa ni mtu mzima, Wema aliwahi kuwa mchumba wa marehemu Kanumba hivyo haikuwa busara kumchomesha mahindi getini kwake.
Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: