Fahamu biashara za mtaji mdogo zenye faida kubwa: vifaa vya simu
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-07-22
Просмотров: 485
UNAWEZA KUAMINI KAMA NINGEKWAMBIA unaweza kuanzisha biashara inayokupa pesa nyingi kwa kutumia chini ya shilingi MILIONI MOJA?
Wengi wanafikiri unahitaji mamilioni na ofisi ya kifahari ili ufanikiwe.
Huo ni UONGO MTUPU! Imani hii imewavunja moyo maelfu ya watu wenye ndoto, wakiishia kujiuliza, “Hizo milioni nitazipata wapi?”
LEO, TUNAIVUNJA HIYO HADITHI! Nataka nikuonyeshe jinsi watu wa kawaida KAMA WEWE wanavyotumia kile kidogo walichonacho na kutengeneza faida za KICHIZI!
Kwenye video hii, nitakupa biashara ya vifaa vya simu ambayo imethibitishwa kuleta faida kubwa kwa mtaji mdogo.
Tutaona mtaji, siri za ushindi, na jinsi unavyoweza kuanza LEO!
Kwa hivyo, usiende popote, kwa sababu wazo la biashara ya vifaa vya simu litabadilisha maisha yako.
Tan Business Channel ina husika na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara.
Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara. Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara. Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja.
Tuna sisitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao.
Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara. Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara. Kuhusu kuendeleza biashara tunafundisha umuhimu wa kutengeneza plan na kuwa na mifumo mizuri ya kuendesha biashara
Tan Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali #vifaavyasimu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: