Jinsi ya kupiga Bass ndani ya fl studio
Автор: Richstar
Загружено: 2018-02-07
Просмотров: 4627
Katika video hii utajifunza mbinu zangu nitumiazo kupiga bass katika beat zangu. Nimeelezea kwa uelewa wangu na kuonesha kwa mfano kabisa ili uzidi kuelewa
Fl studio ni miongoni mwa programu bora zaidi za kutengeneza mziki wa ki electronic yaani nikimaanisha mziki wa kupiga kwa computer
Kama una swali na Maoni niandikie ahapa chini namin nitayajibu kadri niwezavyo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: