DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Asubuhi | Januari, 22 2026 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 6699
Miongoni mwa yaliyomo kwenye
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Asubuhi | Januari, 22 2026 | Swahili News:
Chama tawala nchini Tanzania, (CCM) kimekanusha tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku kuwa CCM inahusika na kufungiwa kwa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema.
Mkutano wa mwaka huu wa Jukwaa la Uchumi Duniani WEF unaoendelea mjini Davos, Uswisi, umeingia siku yake ya tatu hii leo huku mijadala ikizidi kushika kasi.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: