KITIMOTO ROAST | Jinsi ya Kupika Rosti ya Kitimoto | Jinsi ya Kutengeneza Kitimoto
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2022-03-22
Просмотров: 21987
Jifunze jinsi ya kupika rosti ya kitimoto. Hi ni njia rahisi kabisa ya kupika kitimoto kitamu. Mahitaji yake ni rahisi kabisa.
MAHITAJI;
Kitimoto (3 kg)
Limao (3 makubwa)
Nyanya (5-6 kubwa)
Vitunguu maji (2 vikubwa)
Vitunguu swaumu (vijiko 3 vya chakula)
Tangawizi (vijiko 2 vya chakula)
Mdalasini (vijiko 2 vya chai)
Chumvi (vijiko 3 vya chai)
Pilipili manga (vijiko 2 vya chai)
Iliki (vijiko 2 vya chai)
Rosemary
Spinach (mafungu 3 makubwa)
Mafuta ya kupikia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: