KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-03-08
Просмотров: 260090
KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia
Global TV imefika nyumbani kwa Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Marehemu Ephraim Kibonde, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar na kuzungumza na Baba mzazi na mtoto wa kwanza wa marehemu Kibonde....
Baba mzazi wa Kibonde amesema ni kama mwanae alikiona kifo chake kwani mara ya mwisho alizungumza nae akiwa hospitali muda mfupi kabla ya mauti kumkuta na akamsisitiza sana Baba yake kuwaangalia wajukuu zake yaani watoto wake watatu ambao amewaacha...
Aidha Mtoto wa kwanza wa Kibonde anayeitwa Ephraim naye ameongeza kuwa hatomsahau baba yake kwa jinsi ambavyo alikuwa mchapakazi na mara ya mwisho alipowasiliana nae alimwambia kuwa anajiandaa kurudi Dar...
Mwili wa Kibonde umeingia Dar es Salaam jana ukitokea mkoani Mwanza ambapo ndipomauti yalipomkuta...
Kibonde anatarajia kuzikwa keshi Jumamosi Machi 08, katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar...
#RIPKIBONDE
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: