Mifuko inayotokana na kitambaa cha Tanga kisiwani Lamu
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2021-04-30
Просмотров: 1412
Ali Omar amekuwa mvuvi kwa muda wa miaka 18 kisiwani Lamu, katika pwani ya Kenya.
Zaidi ya hayo, ameshirikiana na wengine kutengeneza mifuko inayotokana na vitambaa vya Tanga, ambavyo vinatokana na vitambaa kuu kuu vinavyotumiwa katika boti za wavuvi baharini.
Mifuko hiyo huuzwa kwa watalii na wenyeji wa Lamu.
#Tanga
#Lamu
#Kenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: