TUTENDE MEMA Kwaya ya Mt. Fransisco wa Asizi Mkundi Morogoro
Автор: Fransisco wa asizi _Mkundi
Загружено: 2025-09-01
Просмотров: 648
Tutende Mema ni wimbo mzuri unaotuasa kutendeana yaliyo Mema kama Mungu anavyotuagiza. Ili tuweze kufika Mbinguni kwa Baba basi ni lazima tutende mema kwa watu wote na kwa jirani zetu. Karibu uweze kubarikiwa na wimbo huu uliotungwa na Ndugu Henry C. Sitta na kuimbwa na Kwaya ya Mt. Fransisco wa Asizi Mkundi Morogoro.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: