"Tukiwasema mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu…”-John Heche
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-04-12
Просмотров: 904228
Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amelalamika ndani ya Bunge kwamba Serikali imekuwa ikiwanyima uhuru wa kuzungumza baadhi ya viongozi na wanachama vya vyama vya upinzani na pale wanaoonekana kuzungumza kwa lengo la kuikosoa Serikali huishia kupelekwa Polisi na Mahakamani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: