TAMAA YAKO YA MALI IMEKUA FIMBO KWETU YOTE KWASABABU BABA MAMA WAMEFARIKI
Автор: LUFINGO EXAUD KAJANGE JJJJJRBS
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 198
WATOTO marehemu waliamini baada yakufa baba yao namama you kwa Ajari waliamini baba yao mdogo atajaribu kuwasaulisha machukungu ya baba yao hata ilipo fika swara la milathi walimchagua kwamoyo mmoja baba mdogo awe msimamizi
Siku adi siku baba mdogo alibadilika nakuwa chui nakupanga mpango kaka auwawe ili awe ulu abaki namtoto wakikie kwaniawezi fanya lolote Baba mdogo akiongea nasimu
Nilimuita kaka nakufahamisha nilichokisikia Nilimsii kaka andoke asije akauwawa kisa mali kaka alikubaliana nami nakuondoka nilifakiwa kuchukua kitabu chabenk nakumkabizi
Majira ya usiku baba mdogo aliwafungulia mlango watu waliovalia nguo nyeusi walijifunika sura zao nikiwa juu ya gorofa niliona kilakitu walinyata kuelekea chumba cha kaka uku wakiongozwa na baba mdogo
walipo fika usawa tulipo Nikiwachungulia kwenye upenyo wa kitobo chakitasa
Swari ni kaka alishaondoka wasipo mkuta itakuweje je lengo lao kama lijatimia mimi nitapona fatilia filamu hii nzuri kujua yote
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: