KABURI LA MTUME ; TAZAMA MAHUJAJI WALIVYOPITA KWA HUZUNI KWENYE KABURI LA MTUME
Автор: Tawheed Haj & Umra
Загружено: 2023-07-20
Просмотров: 87782
Mahujaji wa Taasisi ya Tawheed Development Network wakiwa katika Mji Mtukufu wa Madina wamepata fursa ya kutembelea kaika Kaburi la Mtume S.A.W na kutoa salamu zao.
Hii ni fursa muhimu ambayo Mahujaji wameipata, Tafadhali Mkumbushe yule ambaye bado hajaweka nia ya kwenda kutekeleza Ibada ya Hija wakati ndio huu na Taasisi ya Tawheed tupo tayari kukusafirisha.
Sambaza Video hii kwa watu wengi zaidi bila kusahau Ku-subscribe Channel yetu ya Tawheed upate faida zaidi kuhusu Ibada ya Hija.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: