Kitui kupata megawati 135 zaidi za umeme
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 313
Kaunti ya Kitui itanufaika na umeme wa zaidi ya megawati 132, hatua utakaoboresha usambazaji wa umeme katika kaunti hiyo na kusaidia ukuaji wa viwanda pamoja na biashara ndogo.
Waziri wa kawi Opiyo wandayi, aliendelea kusema kwamba mradi huo utasaidia pakubwa na kuwainua kiuchumi wafanyibiashara. Hata hivyo Mkurugenzi wa Kampuni ya KETRACO, Mhandisi Kipkemoi Kibias amesema mradi huo utasaidia kuboresha upatikanaji wa umeme katika eneo hilo, jambo litakalosaidia biashara ndogo pamoja na viwanda vikubwa katika kaunti ya Kitui.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: