WANAFUNZI 50 KUSOMESHWA BURE NJE YA NCHI KUPITIA SAMIA SCHOLASHIP EXTENDED
Автор: WazoHuru Media
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 16
Serikali kupitia Wizara ya Elimu imetoa scholarship (Samia Scholarship) kwa Wanafunzi 50 wa masomo ya Sayansi waliofanya vizuri zaidi katika masomo hayo kusomeshwa bure Nje ya Nchi.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo leo tarehe 10 Disemba 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: