GRUMETI FUND YATOA ELIMU YA KIJINSIA KWA ZAIDI YA WANAFUNZI 1,800 SERENGETI.
Автор: Serengeti DC Digital
Загружено: 2024-03-26
Просмотров: 69
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii katika kujenga jamii yenye usawa na yenye kujitambua kwa vijana wa kike na kiume imewakusanya pamoja wanafunzi wa kike zaidi ya 1,243 na wavulana 565 katika nyakati tofauti kutoka shule za sekondari Makundusi na Natta zilizopo wilayani Serengeti kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za kijinsia zinazowakabili watoto wa kike na kiume pamoja na utatuzi wa changamoto hizo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: