KIBERITI | EP 01 |
Автор: GAIRO FILMS MEDIA
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 1696
Baada ya visa na matukio ambayo binti mdogo alikutana nayo KIBERITI kwenye SEASON 1 katika kijiji cha kitaita na kuamua kukimbilia nyumbani kwao ili kujiandaa na vita mpya.
Katika season hii mpya tutaona muendelezo wa maisha yake baada ya kukimbia na kufika kijijini kwao na kuanza kuibua tena visa na mikasa pamoja na migogoro mingine mipya..
Usikose kufuatilia mtililiko wa series hii mpya tamu iliyo jaa action, drama, comedy na mikasa mipya.
Starring: KIBERITI
Directed by: YESSE CREATOR
Produced by: GAIRO FILMS MEDIA
Country: Tanzania 🇹🇿
✅ Subscribe kwenye channel yetu
🔔 Washa kengele usipitwe na episode mpya ikitoka
📢 Share na marafiki zako – tupeni nguvu ya kuendelea kuleta content bora zaidi!
KiberitiSeason2 ##bongomovies #BongoSeries #SwahiliDrama #clamvevo #dunia #GairoFilmsMedia #AfricanStories #Kiberiti 🔥🎬
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: