LIVE: Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" wimbo wa "Mtoto Akililia Wembe"
Автор: Mlimani Park Orchestra SIKINDE NGOMA YA UKAE
Загружено: 2022-11-07
Просмотров: 10980
Mwimbaji McKay Fanta Shaaban Lendi akisalimia kisanii na akiimba wimbo wa "Mtoto Akililia Wembe" wa Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
Hii ilikuwa Jumamosi tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub Temeke Mwembeyanga
Wimbo huu ni wa mwaka 1987 na ulitungwa na mwanamuziki Cosmas Thobias Chidumule
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: