IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU- MTBC PRAISE AND WORSHIP TEAM - DSM
Автор: Carlos Kirimbai
Загружено: 2019-01-21
Просмотров: 3863
Karibu kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: