Jamii ya wafugaji Wabarbaig wagoma kuzika miili ya ndugu zao wawili kwa zaidi ya siku tano
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2017-03-05
Просмотров: 7137
Licha ya serikali mkoani Pwani kuahidi kutoa huduma za maziko ikiwemo majeneza mawili gari na chakula jamii ya wafugaji Wabarbaig wamegoma kuzika miili ya ndugu zao wawili kwa zaidi ya siku tano sasa hadi waziri wa mambo ya ndani na wa mifugo na kilimo watakapokwenda kijiji cha Kidomole relini Bagamoyo kueleza ufumbuzi juu ya matatizo yanayowakabili ikiwa ni pamoja na mauaji wanayodai yanafanywa na polisi kwa kisingizio cha opereseheni ondoa mifugo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: