Kumkumbuka Kelvin Kiptum - BBC Swahili
Автор: Hassan Lali
Загружено: 2024-02-23
Просмотров: 57
Taarifa hii ya BBC inaangazia safari ya mwanariadha wa Kenya Kelvin Kiptum, ambaye aliaga dunia akiwa na umri mdogo. Akijulikana kua mtu wa bidii katika riadha, Kiptum ameacha umaarufu ambao utakumbukwa daima.
Nilipimpiga picha Celestine Karoney wa BBC akiangazia maisha na talanta yake ya ajabu na vile aliyokuwa akiishi na wale walio karibu nae kuanzia mwanzo hadi kufikia mafanikio katika ulimwengu wa riadha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: