Mhubiri David Owuor afika Kisumu kwa kishindo kwa maombi iliyowavutia maelfu ya Wakristo
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2015-12-31
Просмотров: 101488
Kila mwaka unapofikia kilele wakenya huukaribisha kwa njia mbali mbali. Baadhi hufika katika maeneo ya burudani, wengine kanisani, baadhi wakisalia nyumbani. Lakini mji wa Kisumu umempokea mgeni wa kipekee ambaye ameandaa maombi katika uwanja wa Kibos ambayo yamevutia maelfu ya Wakristo kutoka hapa nchini na nje ya nchi.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: