TAIFA IMARA NI ZAO LA FAMILIA IMARA.
Автор: Kijiweni na Roho Mtakatifu tv
Загружено: 2024-11-05
Просмотров: 54
Shalom Wana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, hongereni kwa kuzidi kukua na kuongezeka katika Ujumbe wa Ufalme wa Mungu Baba.
Karibu tena Kijiweni na Roho Mtakatifu huku tukiwa na mambo kedekede ya kukushirikisha ambayo ni muhimu sana katika kuwasimamia Wana ambao Baba ametupatia.
"...Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka..." Yakobo 1:17
Je, mtu wa kwanza kujua na kulea kipawa cha Mungu Baba kwa mtoto ni nani?
Kwanini ni muhimu kujali vipawa na karama tulizopokea kutoka kwa Mungu Baba.
Karibu mezani tupate kushirikishana kwa pamoja.
Tunazidi kuwashukuru mnaojitoa Wenyewe na kila kitu ambacho mnacho kwa ajili ya kuendeleza Maono ya Mungu Baba kupitia Kijiweni na Roho Mtakatifu. Mmebarikiwa na Bwana wa Majeshi na Amani katika fedha, mali na dhahabu.
#Kijiwe ni kimoja tu, Kijiweni na Roho Mtakatifu
“Tulio na Mungu, Tuna Roho wa Mungu.”
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: