Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Historia na maendeleo ya ushairi wa Kiswahili (Urasimi mkongwe hadi sasa)

Автор: Teachkrest International (Ruth K. N)

Загружено: 2024-01-01

Просмотров: 322

Описание:

Kipindi Cha Kwanza (Urasimi Mkongwe)
•Kipindi hiki ni wakati wa mashairi yaliyotungwa kabla ya karne ya 18. Katika kipindi hiki, mashairi yalikuwa kakitungwa ila hayakuwa na utaratibu wa vina, vina, mizani na beti kama ilivyo katika mashairi ya kisasa
•Mashairi ya siku hizo yalikuwa kama nyimbo tu na yalikuwa na mishororo mirefu. Mashairi hayo yalibadilika kimaudhui, jamii nazo zikipambana kutunga kwa maudhui mbalimbali.
•Mashairi ya nyakati hizo, yalipashwa tu wakati wa sherehe mbalimbali kwa kuwa ustaarabu wa kuandika ulikuwa bado kwa Waswahili. Mabadiliko mengi yalifanyika Waarabu walipofika pwani ya Afrika Mashariki. Waarabu walikuwa na mashairi yao yaliyokuwa na vina beti, mizani na maudhui ya kidini (dini ya Kiislamu). Tangu wakati huo, mashairi yakfuata mkondo huo. Waswahili wakafunzwa hati ya Kiarabu ili kusoma Kurani Tukufu.Hizo ndizo nyakati ambazo inadhaniwa kuwa shairi la kwanza liliandikwa kwa kufuata kanuni za Ushairi.
•Japo kulikuwa na mashairi mengine hapo awali, Utenzi wa Tambuka (Chuo cha Herekali) unadaiwa kuwa wa kwanza kuandikwa kwa kufuata kanuni za Ushairi. Utenzi huo ulitungwa na Mwengo Bin Athumani (1728-1840) na ulihusu maisha ya Sultani wa Pate 'Fumo Laiti Nabhani'.Tungo nyingine za wakati huo:Utenzi wa Hamziya (1749) - Sayyid Abdarus,Utenzi wa Mwanakupona (1859),Utenzi wa Al-Inkishafi (1813) - Sayyid Abdallah A. Nassir,Utenzi wa Rasi-al-Ghuli, Utenzi wa Shufaka, Tungo za Muyaka bin Haji Al Ghassany (1776-1840),Tungo za Ali Kofi,Tungo za Bwana Mataka

Click for more.

Historia na maendeleo ya ushairi wa Kiswahili (Urasimi mkongwe hadi sasa)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Utenzi wa Al-Inkishafi

Utenzi wa Al-Inkishafi

ARISTOTLE// maoni yake kuhusu fasihi na vipengele vya uhakiki.

ARISTOTLE// maoni yake kuhusu fasihi na vipengele vya uhakiki.

Baraka na kanani inakusubiri lazima ufike

Baraka na kanani inakusubiri lazima ufike

Французские песни (1 час) - 30 самых красивых французских песен 🎧 Шарль Азнавур и Хулио Иглесиас

Французские песни (1 час) - 30 самых красивых французских песен 🎧 Шарль Азнавур и Хулио Иглесиас

FONETIKI NA FONOLOJIA(phoneticts and phonology) Mwal. Sore# Timothy Arege#Dr. Hamisi Babusa#Ken Wali

FONETIKI NA FONOLOJIA(phoneticts and phonology) Mwal. Sore# Timothy Arege#Dr. Hamisi Babusa#Ken Wali

UDURUSU WA INSHA ZA KIUAMILIFU-KIELELEZO CHA BARUA YA KIRAFIKI • Athari ya dawa za kulevya

UDURUSU WA INSHA ZA KIUAMILIFU-KIELELEZO CHA BARUA YA KIRAFIKI • Athari ya dawa za kulevya

NJAA IMEINGIA TANZANIA GENZ WATOA SIRI NZITO

NJAA IMEINGIA TANZANIA GENZ WATOA SIRI NZITO

Echoes of Africa 🌍 | Zulu Voices for Deep Calm & Serenity

Echoes of Africa 🌍 | Zulu Voices for Deep Calm & Serenity

Aina ya mishororo na vipande katika ushairi

Aina ya mishororo na vipande katika ushairi

Ushairi Sifa na majukumu ya ushairi

Ushairi Sifa na majukumu ya ushairi

Ernesto Cortazar – Сборник Великолепной Инструментальной Музыки!

Ernesto Cortazar – Сборник Великолепной Инструментальной Музыки!

Nadharia za uchambuzi wa fasihi

Nadharia za uchambuzi wa fasihi

Если Вам Задают Эти 5 Вопросов — Вами Пытаются Манипулировать - Карл Юнг

Если Вам Задают Эти 5 Вопросов — Вами Пытаются Манипулировать - Карл Юнг

ИСТЕРИКА ВОЕНКОРОВ. Z-ники в ярости из-за приезда Зеленского в Купянск. Требуют отставки Герасимова

ИСТЕРИКА ВОЕНКОРОВ. Z-ники в ярости из-за приезда Зеленского в Купянск. Требуют отставки Герасимова

Utendi wa Mwanakupona 2

Utendi wa Mwanakupona 2

Она Была «Негодной Для Брака» — Её Отец Отдал Её Самому Сильному Рабу, Вирджиния, 1856

Она Была «Негодной Для Брака» — Её Отец Отдал Её Самому Сильному Рабу, Вирджиния, 1856

Как раскусить любого | 14 хитростей Макиавелли

Как раскусить любого | 14 хитростей Макиавелли

Почему римский БЕТОН прослужит 2000 лет, а наш — умрёт через 50 лет

Почему римский БЕТОН прослужит 2000 лет, а наш — умрёт через 50 лет

French Songs - The 50 Most Beautiful French Songs 🎧Charles Aznavour, Edith Piaf & Julio Iglesias

French Songs - The 50 Most Beautiful French Songs 🎧Charles Aznavour, Edith Piaf & Julio Iglesias

6 способов распознать человека за 10 секунд (Он не заметит этого)

6 способов распознать человека за 10 секунд (Он не заметит этого)

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]