Jinsi ya Kupika Kuku wa Kuoka kwenye Oven | Rahisi na Mtamu!
Автор: Misosimitamu
Загружено: 2025-03-28
Просмотров: 5378
Viambato vya Kavu:
• 1 kijiko cha chai cha chumvi
• 3 vijiko vya chai vya sukari ya kahawia / asali / siropu ya maple
• 1 kijiko cha supu cha viungo vya kuku vya Maggi
• 2 vijiko vya supu vya mchanganyiko wa herbs za Italia
• ½ kijiko cha chai cha chili flakes
• 1 kijiko cha supu cha tandoori masala
Viambato vya Maji:
• 1 kijiko cha supu cha pastes ya vitunguu na tangawizi
• 2 vijiko vya supu vya mafuta ya zeituni
• 2 vijiko vya supu vya maji ya limao
#kuku #kukuwakuokwanamisosimitamu #kukuwakuokwa
#kukuwakuoka #uokajiwakuku
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: