WANAFUNZI 6 CHALANGWA SECONDARY SCHOOL_WAKATIZWA NDOTO ZAO BAADA YA KUGONGWA NA_BUS WAKIWA JOGGING
Автор: MWANDANDILA MEDIA WORLD WIDE
Загружено: 2025-07-28
Просмотров: 21
Wanafunzi 6 Wafupizwa Uhai wao baada ya Bus Safina Coach, iliyokuwa inatokea Chunya kuelekea Mbeya kuwaginga Wanafunzi wakiwa Jogging eneo la Makabirini Kata ya Chalangwa Wilayani Chunya Mkoani Mbeya.
Wanafunzi wengine 8 Majeruhi waliolazwa Chalangwa kituo Cha Afya.
Mfanyabiashra wa Madini Wilayani Chunya Mkoani Mbeya Geofrey Mwankenja ametoa shilingi Milioni 5 na Laki 5 za Rambirambi Kwa Familia za watoto sita waliohongwa na Gari Basi wakati wakifanya Mazoezi 26 July 2025 Jamamosi Ahsubuhi Wilayani Chunya.
Aidha Mwankenja ameeleza Kusikitishwa na Ajali hiyo iliyofupiza Uhai wa watoto hao ambao ndoto zao zimekatishwa na kifo hicho na kuwaomba wazazi na walezi kuendelea kuwaombea watoto wao walale Mahali Pema peponi. AMINA.
Tuandikie Maoni Yako na Kwa Taarifa zaidi ikiwa una Habari au Tukio lolote==
WhatsApp (+255) 0 782999959
Call Phone (+255) 0 757 221148
MWANDANDILA MEDIA WORLD WIDE
The Hopeever Changing World 🌎🌍
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: