NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Patcho Mwamba kutoka DRC - muziki hadi Uigizaji na utangazaji Tanzania
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-11-14
Просмотров: 8903
Ni kipindi cha tarehe 14/11/2019: Huyu ni mwanamuziki wa bendi iliyokuwa ikifahamika kwa jina la FM Academia ambayo sasa ina jina jipya. Anasimulia jinsi alivyoingia Tanzania hadi kuanza kazi ya usanii wa maigizo, mitindo na utangazaji.
Pia ameeleza kisa cha aliyekuwa Rais wa bendi hiyo Nyoshi El Sadat kuondoka kwenye bendi hiyo akieleza sababu kuwa ni kutotaka kuongozwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: